Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisaini Kitabu cha Wageni mara baada ya kuwasili katika Ikulu ya Namibia kulia kwake ni Rais wa Namibia Mheshimiwa Hage Geingob akishuhudia.
|
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mwenyeji wake Rais wa Namibia Mheshimiwa Hage Geingob wakati wa nyimbo za mataifa mawili zikipigwa katika viwanja vya Ikulu ya Namibia.
|
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikagua Gwaride la Heshma aliloandaliwa mara baada ya kuwasili katika Ikulu ya Namibia.
|
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na mwenyeji wake Rais wa Namibia Mheshimiwa Hage Geingob mara baada ya kuwasili.
|
No comments:
Post a Comment