VODACOM YATOA MAFUNZO YA TEKNOLOJIA ZA KIFEDHA KWA WANAFUNZI IFM - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Monday, 22 April 2019

VODACOM YATOA MAFUNZO YA TEKNOLOJIA ZA KIFEDHA KWA WANAFUNZI IFM

Meneja wa Biashara na Mkakati wa Mauzo wa Vodacom Tanzania Plc kanda ya Dar es Salaam na Pwani, Caleb Majo (kushoto) akizungumza na wanafunzi wa Chuo cha Uongozi wa Fedha (IFM) wakati wa mafunzo ya kuwajengea uwezo na uelewa wa teknolojia za kifedha jijini Dar es Salaam hivi karibuni. Semina hiyo imefanyika chini ya Vodacom Tanzania Foundation kwa kushirikiana na Taasisi ya Green Hope ili kuhakikisha wanafunzi hao wanapata ufahamu wa teknolojia hizo na mchango wake katika kuchochea ushirikishwaji wa kifadha. 

Meneja wa Biashara na Mkakati wa Mauzo wa Vodacom Tanzania Plc kanda ya Dar es Salaam na Pwani, Caleb Majo (kushoto) akizungumza na wanafunzi wa Chuo cha Uongozi wa Fedha (IFM) wakati wa mafunzo ya kuwajengea uwezo na uelewa wa teknolojia za kifedha jijini Dar es Salaam hivi karibuni. 

Meneja mauzo wa eneo la katikati ya jiji wa Vodacom Tanzania Plc, George Nyanda (kulia) akizungumza na wanafunzi wa Chuo cha Uongozi wa Fedha (IFM) wakati wa mafunzo ya kuwajengea uwezo na uelewa wa teknolojia za kifedha jana jijini Dar es Salaam. Semina hiyo imetolewa chini ya Vodacom Tanzania Foundation kwa kushirikiana na Taasisi ya Green Hope ili kuhakikisha vijana wanapata ufahamu wa teknolojia hizo na mchango wake katika kuchochea ushirikishwaji wa kifedha. 

Meneja mauzo wa eneo la katikati ya jiji wa Vodacom Tanzania Plc, George Nyanda (kulia) akizungumza na wanafunzi wa Chuo cha Uongozi wa Fedha (IFM) wakati wa mafunzo ya kuwajengea uwezo na uelewa wa teknolojia za kifedha jana jijini Dar es Salaam. 

No comments:

Post a Comment