RAIS MAGUFULI AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI BARABARA YA MTWARA-NEWALA-MASASI KM 210…! - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Thursday, 4 April 2019

RAIS MAGUFULI AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI BARABARA YA MTWARA-NEWALA-MASASI KM 210…!

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Mkewe Mama Janeth Magufuli pamoja na Viongozi wengine wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mkoa wa Mtwara, Wabunge na viongozi wengine akikata utepe kuashiria uzinduzi wa Mitambo itayotumika katika ujenzi wa Barabara ya Mtwara-Newala-Masasi km 210 sehemu ya Mtwara-Mnivata km 50 katika hafla iliyofanyika sehemu ya Naliendelea mkoani Mtwara.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Mkewe Mama Janeth Magufuli pamoja na Viongozi wengine wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mkoa wa Mtwara, Wabunge na viongozi wengine akivuta utepe kuweka jiwe la msingi katika ujenzi wa Barabara ya Mtwara-Newala-Masasi km 210 sehemu ya Mtwara-Mnivata km 50 katika hafla iliyofanyika sehemu ya Naliendelea mkoani Mtwara.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia wananchi wa Naliendele mkoani Mtwara kabla ya kuweka jiwe la msingi katika ujenzi wa Barabara ya Mtwara-Newala-Masasi km 210 sehemu ya Mtwara-Mnivata km 50.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwasalimia wananchi waliofika kumsikiliza katika ziara zake mkoani Mtwara. PICHA ZOTE NA IKULU.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwasalimia wanachi wa Naliendele mkoani Mtwara wakati akielekea kuweka jiwe la msingi katika ujenzi wa Barabara ya Mtwara-Newala-Masasi km 210 sehemu ya Mtwara-Mnivata km 50.

Wananchi wa Nanguruwe Mtwara vijijini wakishangilia mara baada ya Rais Dkt. John Pombe Magufuli kuwatatulia sehemu itakapojengwa hospitali katika eneo hilo.

No comments:

Post a Comment