RAIS JPM AZUNGUMZA NA WANANCHI MIGORI AKIELEKEA DODOMA - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Saturday, 13 April 2019

RAIS JPM AZUNGUMZA NA WANANCHI MIGORI AKIELEKEA DODOMA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Migori (hawapo pichani) katika jimbo la Isimani mkoani Iringa wakati akielekea mkoani Dodoma.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwasikiliza wananchi wa Migori katika jimbo la Isimani mkoani Iringa wakati akielekea mkoani Dodoma.

Mkuu wa Mkoa wa Iringa Ally Hapi pamoja na Waziri wa Ardhi Wiliam Lukuvi wakishangilia mara baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli kuagiza ujenzi wa Kituo cha Afya cha Shilingi milioni 400 katika eneo la Migori mkoani Iringa.

No comments:

Post a Comment