Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Msafiri Mbibo kuwa Naibu Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Ikulu jijini Dar es Salaam. |
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Adolf Ndunguru kuwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango (Sera) Ikulu jijini Dar es Salaam. |
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza mara baada ya kuwaapisha
viongozi hao Ikulu jijini Dar es Salaam.
|
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza mara baada ya kuwaapisha
viongozi hao Ikulu jijini Dar es Salaam.
|
No comments:
Post a Comment