![]() |
| Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikagua mashine za Kiwanda cha kuchakata Mahindi cha Mlale JKT kilichopo Songea mkoani Ruvuma huku akipata maelezo. |
![]() |
| Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikagua sehemu ya awali ya mashine za kuchakata mahindi katika kiwanda hicho. |
![]() |
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo na Makamanda wa
Jeshi la Wananchi JWTZ mara baada ya kuwasili kiwandani hapo.
|
![]() |
| Sehemu ya Mashine za Kiwanda hicho cha Kuchakata mahindi chha JKT Mlale. |









No comments:
Post a Comment