Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Tanga Thobias Mwilapwa ambaye pia ni Mkuu wa wilaya ya Tanga akizungumza wakati wa ziara hiyo. |
Diwani wa Kata ya Mnyanjani (CUF) Thobias Haule akizungumza katika ziara hiyo. |
Sehemu ya wananchi kutoka maeneo mbalimbali wakifuatilia mkutano huo wa Waziri Mpina na Wavuvi eneo la soko la Samaki la Kasera Jijini Tanga. |
WAZIRI wa Mifugo na Uvuvi Luhaga Mpina kushoto akisisitiza jambo kwa mmoja wa wavuvi waliopo eneo hilo mara baada ya kuzungumza nao. |
No comments:
Post a Comment