![]() |
| Gari la Mkuu wa Wilaya ya Kalambo likiwa limekwama na kujaribu kukwamuliwa kutoka kwenye tope zito liliosababishwa na mvua zilizonyesha hivi karibuni na kusababisha hali ya barabara kuwa mbaya. |
KRETA YA EMPAKAAI (EMPAKAAI CRATER).
-
Kasoko ya Empakaai ni mojawapo ya Kasoko za volkano ndani ya Hifadhi ya
Ngorongoro, ikiwa na kingo za juu na ziwa zuri linalofunika zaidi ya
asilimia 75 ...
2 hours ago





No comments:
Post a Comment