RAIS DK MAGUFULI AFANYA MAZUNGUMZO NA RAIS WA RWANDA KAGAME IKULU DAR - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya

Thursday, 7 March 2019

RAIS DK MAGUFULI AFANYA MAZUNGUMZO NA RAIS WA RWANDA KAGAME IKULU DAR

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mgeni wake Rais wa Rwanda Mheshimiwa Paul Kagame kabla ya kuzungumza na wanahabari Ikulu jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mgeni wake Rais wa Rwanda Mheshimiwa Paul Kagame kabla ya kuzungumza na wanahabari Ikulu jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wanahabari mara baada ya kumaliza mazungumzo yake na Rais wa Rwanda Mheshimiwa Paul Kagame Ikulu jijini Dar es Salaam.

Rais wa Rwanda Mheshimiwa Paul Kagame akizungumza na wanahabari mara baada ya kumaliza mazungumzo yake na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli Ikulu jijini Dar es Salaam. PICHA NA IKULU.

No comments:

Post a Comment