NAIBU WAZIRI STELLA IKUPA AGAWA TANI MOJA NA NUSU YA SARUJI KIPAWA - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Tuesday 12 March 2019

NAIBU WAZIRI STELLA IKUPA AGAWA TANI MOJA NA NUSU YA SARUJI KIPAWA

 Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, kazi, Vijana, Ajira na wenyeulemavu,Stella Ikupa akizungumza na wakazi wa Kipawa na Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Kabla ya kugawa Mifuko 30 ya Saruji kwa ajili ya ujenzi wa ofisi ya CCM Kipawa ambayo inatraji kufanyiwa ukarabati.

 Naibu Waziri ,Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,Bunge,kazi ,Vijana,Ajira na wenyeulemavu,Stella Ikupa  akikabidhi mifuko 30 ya Saruji kwa uongozi wa Chama Cha Mapinduzi kata ya Kipawa kwa ajili ya kukarabati ofisi za Chama hicho.


Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Ilala (UWT), Amina Dodi akitoa neno kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi kuzungumza.

 Katibu Mkuu wa Umojha wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Ilala, Bora Hassan akitoa utambulisho wa Viongozi wa meza kuu.

 Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Kata ya Kipawa Adiriano Komba akizungumza na kutoa shukrani kwa niaba ya wakazi wa Kipawa.

Wananchi wa Kipawa waliohudhuria katika Mkutano wa Naibu Waziri ,Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,Bunge, kazi, Vijana, Ajira na wenyeulemavu,Stella Ikupa.

No comments:

Post a Comment