BENKI YA STANBIC YATOA KADI 200 ZA BIMA YA AFYA KWA WATOTO ARUSHA - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Tuesday, 12 March 2019

BENKI YA STANBIC YATOA KADI 200 ZA BIMA YA AFYA KWA WATOTO ARUSHA

Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Bw. Mrisho Gambo akimkabidhi mtoto Bless Johnmmoja kati ya watoto 200 wanaoishi katika mazingira magumu walionufaika na bima ya afya kwa ajili ya kupata matibabu kutoka benki ya Stanbic Tanzania jijini Arusha. Kulia ni Mkuu wa Standard Bank Kanda ya Afrika, Tshepo Dlamini Ramoshaba na Afisa Ustawi wa Jamii, Asia Jingu (kushoto).

Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Bw. Mrisho Gambo akimkabidhi mmoja wa watoto 200 wanaoishi katika mazingira magumu walionufaika na bima ya afya kwaajili ya kupata matibabu kutoka benki ya Stanbic Bank Tanzania zilizotolewa jijini Arusha. Kulia ni kiongozi wa benki hiyo kanda ya Afrika, Tshepo Dlamini Ramoshaba na kushoto ni Afisa Ustawi wa Jamii, Asia Jingu.

No comments:

Post a Comment