MAJALIWA AFUNGUA KONGAMANO LA KITAIFA LA KUTOKOMEZA UKATILI DHIDI YA WANAWAKE NA WATOTO - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya

Thursday, 21 March 2019

MAJALIWA AFUNGUA KONGAMANO LA KITAIFA LA KUTOKOMEZA UKATILI DHIDI YA WANAWAKE NA WATOTO

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipofungua Kongamano la Kitaifa la Kutokomeza Ukatili Dhidi ya Wanawake na Watoto kwenye ukumbi wa Chuo Kikuu Kishiriki cha Dar es salaam (DUCE), Machi 21, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Baadhi ya Washiriki  wa Kongamano la Kitaifa la Kutokomeza Ukatili dhidi ya Wanawake na Watoto wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipofungua  Kongamano hilo kwenye ukumbi wa Chuo Kikuu Kishiriki cha Dar es salaam (DUCE), Machi 21, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana  na Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu Tanzania   Mstaafu, Bibi Helen Kijo Bisimba  baada ya kufungua Kongamano la Kitaifa la  Kutokomeza Ukatili dhidi ya Wanawake na Watoto kwenye ukumbi wa Chuo Kikuu Kishiriki  cha  Dar es salaam (DUCE) Machi 19, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

No comments:

Post a Comment