KIGWANGALLA AKUTANA NA BALOZI WA FINLAND NCHINI WAZUNGUMZIA MASUALA YA MISITU - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Monday, 25 March 2019

KIGWANGALLA AKUTANA NA BALOZI WA FINLAND NCHINI WAZUNGUMZIA MASUALA YA MISITU

Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Hamisi Kigwangalla akizungumza na Balozi wa Finland nchini, Pekka Hukka ofisini kwake Jijini Dodoma leo ambapo wamekubaliana kuimarisha ushirikiano baina ya nchi hizo mbili  kwa kuendeleza miradi iliyodhaminiwa na Serikali ya Finland hususani ya  misitu ambapo Balozi huyo amemuelza Waziri Kigwangalla kuwa msingi mkubwa  wa maendeleo ya Finland ni uwekezaji mkubwa uliofanywa kwenye misitu. (Picha na Wizara ya Maliasili na Utalii) .

No comments:

Post a Comment