MAJALIWA ATEMBELEA KAMBI YA WAKIMBIZI YA NDUTA WILAYANI KIBONDO - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Monday, 18 February 2019

MAJALIWA ATEMBELEA KAMBI YA WAKIMBIZI YA NDUTA WILAYANI KIBONDO

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiingia kwenye moja ya madarasa katika Shule ya Msingi ya Kassim Majaliwa iliyopo kwenye  Kambi ya Wakimbizi ya Nduta wilayani Kibondo, Februari 18, 2019.  Wapili kushoto ni Waziri wa Elimu, Sayansi na Tekinolojia, Profesa Joyce Ndalichako. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua madaftari ya wanafunzi wa Shule ya Msingi ya Kassim Majaliwa wakati alipotembelea baadhi ya madarasa ya  Shule hiyo, Februari 18, 2019. Wapili kushoto ni mkewe Mary. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na watoto wa Shule ya Msingi ya Kassim Majaliwa  wakati alipokagua madarasa ya Shule hiyo katika Kambi ya Wakimbizi ya Nduta wilayani Kibondo, Februari 18, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

No comments:

Post a Comment