RAIS MAGUFULI AKUTANA NA VIONGOZI WA DINI IKULU JIJINI DAR - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Wednesday, 23 January 2019

RAIS MAGUFULI AKUTANA NA VIONGOZI WA DINI IKULU JIJINI DAR

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akizungumza wakati alipokutana na viongozi wa dini Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumatano Januari 23, 2019. PICHA NA IKULU.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akisisitiza jambo alipokutana na viongozi wa dini Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumatano Januari 23, 2019. PICHA NA IKULU.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akizungumza wakati alipokutana na viongozi wa dini Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumatano Januari 23, 201. PICHA NA IKULU.

No comments:

Post a Comment