MATUKIO MBALIMBALI KUTOKA BUNGENI MJINI DODOMA LEO - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Wednesday, 30 January 2019

MATUKIO MBALIMBALI KUTOKA BUNGENI MJINI DODOMA LEO

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Iramba Magharibi, Mwigulu Nchemba kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Januari 30, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Kasulu Mjini, Daniel Nsanzugwako (kushoto) kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Januari 30, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wabunge kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Januari 30, 2019. Kutoka kushoto ni Mbunge wa Iramba Magharibi, Mwigulu Nchemba, Mbunge wa Kiembe Samaki, Ibrahim Raza, Mbunge wa Kwimba, Shanif Mansoor na Mbunge wa Mpwapwa, George Lubeleje. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora ambaye pia ni Mbunge wa Viti Maalum, Dkt. Mary Mwanjelwa, Bungeni jijini Dodoma, Januari 30, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

No comments:

Post a Comment