SERIKALI YASAINI MKOPO NAFUU WA BILIONI 440.703 NA MSAADA WA SH. BILIONI 45 KUTOKA AfDB - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya

Thursday, 15 November 2018

SERIKALI YASAINI MKOPO NAFUU WA BILIONI 440.703 NA MSAADA WA SH. BILIONI 45 KUTOKA AfDB

Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango  Doto James (kulia) akiwa pamoja na Mwakilishi Mkazi wa Benki ya Maendeleo ya Afrika(AfDB) Alex Mubiru wakisaini mikataba ya makubaliano ya mkopo wa masharti nafuu wa  jumla ya Shilingi bilioni 440.703 pamoja na msaada wa Shilingi bilioni 45 ambapo fedha hizo zote zitatumika katika Mradi mkubwa wa umeme mkoani Kigoma, Bajeti Kuu ya Serikali, Kilimo pamoja na mambo mengine ya kimaendeleo.

No comments:

Post a Comment