NAIBU WAZIRI UJENZI AKAGUA UKARABATI BARABARA YA SHELUI-IGUNGA - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Thursday, 22 November 2018

NAIBU WAZIRI UJENZI AKAGUA UKARABATI BARABARA YA SHELUI-IGUNGA

Naibu Waziri wa Ujenzi, Mhe. Elias John Kwandikwa (mwenye kofia), akipata maelezo kutoka kwa Kaimu Meneja wa Wakala wa Barabara nchini (TANROADS), Mkoa wa Singida  Mhandisi Masige Matari (wapili kushoto), alipokagua ujenzi wa barabara hiyo eneo la  Malendi katika barabara ya Shelui-Igunga ambapo ukarabati mkubwa unaendelea ili kudhibiti mafuriko na kuweka tabaka jipya la lami. 

Kazi ya ujenzi wa barabara ikiendelea katika eneo la Malendi mkoani Singida katika barabara ya Shelui-Igunga ambapo ukarabati mkubwa unafanyika  ili kudhibiti mafuriko na kuweka tabaka jipya la lami. 

Muonekano wa barabara ya Shelui-Igunga ambapo ukarabati mkubwa unafanyika ili kudhibiti mafuriko na kuweka tabaka jipya la lami. IMETOLEWA NA KITENGO CHA HABARI NA MAWASILIANO WIZARA YA UJENZI, UCHUKUZI NA MAWASILIANO, (Novemba 21, 2018).

No comments:

Post a Comment