KUTOKA BUNGENI DODOMA LEO....! - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Wednesday, 7 November 2018

KUTOKA BUNGENI DODOMA LEO....!

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akimsikiliza Mbunge wa viti maalum Salma Kikwete, Bungeni jijini Dodoma. Novemba 7, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na wenye Ulemavu Jenista Mhagama, Bungeni jijini Dodoma Novemba 7, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akisalimiana na Mbunge wa Malindi Ally Saleh, kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma. Novemba 7, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)




No comments:

Post a Comment