MHE. DKT. SAMIA AKABIDHIWA HATI YA USHINDI WA RAIS - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Saturday, 1 November 2025

MHE. DKT. SAMIA AKABIDHIWA HATI YA USHINDI WA RAIS

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan  akipokea Hati ya Ushindi wa Kiti cha Urais kutoka kwa Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) Mhe. Jaji wa Rufani Jacobs Mwambegele mara baada ya kutangazwa mshindi wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Uchaguzi Mkuu uliofanyika tarehe 29 Oktoba 2025, hafla hiyo ya kukabidhiwa Cheti imefanyika katika Makao Makuu ya Tume Njedengwa jijini Dodoma tarehe 01 Novemba 2025. (Picha na INEC).

No comments:

Post a Comment