DKT. SAMIA KATIKA MKUTANO WA KAMPENI KWA WANANCHI MAJIMBO YA MBAGALA, KIGAMBONI, CHAMAZI NA TEMEKE DAR - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya

Thursday, 23 October 2025

DKT. SAMIA KATIKA MKUTANO WA KAMPENI KWA WANANCHI MAJIMBO YA MBAGALA, KIGAMBONI, CHAMAZI NA TEMEKE DAR

Matukio mbalimbali kwenye mkutano wa hadhara wa Kampeni wa Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan uliofanyika katika uwanja wa TANESCO, Buza Jijini Dar es Salaam tarehe 23 Oktoba, 2025.

Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi wa majimbo ya Mbagala, Kigamboni, Chamazi na Temeke katika muendelezo wa Kampeni za Uchaguzi za CCM zilizofanyika kwenye uwanja wa TANESCO, Buza Jijini Dar es Salaam tarehe 23 Oktoba, 2025.

Matukio mbalimbali kwenye mkutano wa hadhara wa Kampeni wa Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan uliofanyika katika uwanja wa TANESCO, Buza Jijini Dar es Salaam tarehe 23 Oktoba, 2025.

Matukio mbalimbali kwenye mkutano wa hadhara wa Kampeni wa Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan uliofanyika katika uwanja wa TANESCO, Buza Jijini Dar es Salaam tarehe 23 Oktoba, 2025.

Shamra shamra wakati akiwasili Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan katika uwanja wa TANESCO, Buza Jijini Dar es Salaam tarehe 23 Oktoba, 2025.

No comments:

Post a Comment