MGOMBEA NAFASI YA RAIS TIKETI YA CCM DKT. SAMIA AHUTUBIA WANANCHI MAJIMBO YA ILALA, SEGEREA, KIVULE NA UKONGA DAR - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya

Wednesday, 22 October 2025

MGOMBEA NAFASI YA RAIS TIKETI YA CCM DKT. SAMIA AHUTUBIA WANANCHI MAJIMBO YA ILALA, SEGEREA, KIVULE NA UKONGA DAR

Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi wa majimbo ya Ilala, Segerea, Kivule na Ukonga katika muendelezo wa Kampeni za Uchaguzi za CCM zilizofanyika kwenye uwanja wa Kecha, Kinyerezi Jijini Dar es Salaam tarehe 22 Oktoba, 2025.

Shamra shamra wakati akiwasili Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan katika uwanja wa Kecha, Kinyerezi Jijini Dar es Salaam tarehe 22 Oktoba, 2025.

Matukio mbalimbali kwenye mkutano wa hadhara wa Kampeni wa Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan uliofanyika katika uwanja wa Kecha Kinyerezi Jijini Dar es Salaam tarehe 22 Oktoba, 2025.

No comments:

Post a Comment