MUHEZA YAITIKA KWA DKT. SAMIA MKUTANO WA KAMPENI ZA CCM TANGA - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya

Tuesday, 30 September 2025

MUHEZA YAITIKA KWA DKT. SAMIA MKUTANO WA KAMPENI ZA CCM TANGA

Sehemu ya wananchi wa Muheza mkoani Tanga waliohudhuria mkutano wa hadhara wa Kampeni za Uchaguzi kwa Chama cha Mapinduzi (CCM) tarehe 29 Septemba, 2025.

Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi wa Muheza katika muendelezo wa Kampeni za Uchaguzi kwa CCM mkoani Tanga tarehe 29 Septemba, 2025.

Sehemu ya wananchi wa Muheza mkoani Tanga waliohudhuria mkutano wa hadhara wa Kampeni za Uchaguzi kwa Chama cha Mapinduzi (CCM) tarehe 29 Septemba, 2025.

Sehemu ya wananchi wa Muheza mkoani Tanga waliohudhuria mkutano wa hadhara wa Kampeni za Uchaguzi kwa Chama cha Mapinduzi (CCM) tarehe 29 Septemba, 2025.

Matukio mbalimbali katika mkutano wa hadhara wa Kampeni za Uchaguzi kwa Chama cha Mapinduzi (CCM) uliofanyika Muheza mkoani Tanga tarehe 29 Septemba, 2025.

No comments:

Post a Comment