DKT. SAMIA WA CCM AHUTUBIA WANANCHI NJOMBE, KAMPENI UCHAGUZI MKUU WA SEPTEMBA, 2025 - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Saturday, 6 September 2025

DKT. SAMIA WA CCM AHUTUBIA WANANCHI NJOMBE, KAMPENI UCHAGUZI MKUU WA SEPTEMBA, 2025

 

Mgombea wa Nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi wa Njombe katika muendelezo wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu kwa Chama hicho mkoani humo tarehe 05 Septemba, 2025.



Matukio mbalimbali kwenye mkutano wa hadhara wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu kwa Chama cha Mapinduzi (CCM) uliofanyika mkoani Njombe tarehe 05 Septemba, 2025.

Mgombea wa Nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan ahutubia wananchi wa Njombe katika muendelezo wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu kwa Chama hicho mkoani humo tarehe 05 Septemba, 2025.






Matukio mbalimbali kwenye mkutano wa hadhara wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu kwa Chama cha Mapinduzi (CCM) uliofanyika mkoani Njombe tarehe 05 Septemba, 2025.

No comments:

Post a Comment