Mgombea nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wananchi na Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Nungwi katika muendelezo wa kampeni za Uchaguzi Mkuu kwa Chama hicho Zanzibar tarehe 18 Septemba 2025.
WATAALAMU WAKUTANA KUJADILI KUIMARISHA MIFUMO YA TAHADHARI ZA MAPEMA NA
HUDUMA ZA HALI YA HEWA UKANDA WA MASHARIKI NA KUSINI MWA AFRIKA
-
MKUTANO wa kikanda unaolenga kuimarisha mifumo ya tahadhari za mapema na
huduma za hali ya hewa kwa Afrika Mashariki na Kusini mwa Afrika
umefunguliwa...
52 minutes ago

No comments:
Post a Comment