WAGOMBEA WA CHAMA CHA MAKINI, NLD WACHUKUA FOMU ZA URAIS INEC - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Sunday, 10 August 2025

WAGOMBEA WA CHAMA CHA MAKINI, NLD WACHUKUA FOMU ZA URAIS INEC

 

Mgombea wa Kiti cha Rais na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama cha National League for Democracy (NLD), Mhe. Doyo Hassan Doyo. Pamoja na Mgombea Mwenza, Mhe. Chausiku Khatib Mohamed (kushoto) wakionesha fomu waliochukua leo Agosti 10,2025 ambapo Tume inataraji kufanya uteuzi Agosti 27 mwaka huu. (Picha na INEC).

Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Mahakama ya Rufaa Jacobs Mwambegele akimkakabidhi mkoba wenye fomu za kuomba kuteuliwa kuwa Mgombea wa Kiti cha Rais na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama cha National League for Democracy (NLD), Mhe. Doyo Hassan Doyo. Mgombea huyo wa NLD aliyeambatana na Mgombea Mwenza, Mhe. Chausiku Khatib Mohamed (kushoto) alichukua fomu hizo leo Agosti 10,2025 ambapo Tume inataraji kufanya uteuzi Agosti 27 mwaka huu. (Picha na INEC).

No comments:

Post a Comment