RAIS DKT. SAMIA APOKEA HATI ZA UTAMBULISHO KWA MABALOZI - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya

Wednesday, 6 August 2025

RAIS DKT. SAMIA APOKEA HATI ZA UTAMBULISHO KWA MABALOZI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Balozi Mteule wa Jamhuri ya Sudan hapa nchini Mhe. Mohamed Abdalla Abdelhameed Ahmed Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 06 Agosti, 2025.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Balozi Mteule wa Jamhuri ya Sudan hapa nchini Mhe. Mohamed Abdalla Abdelhameed Ahmed Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 06 Agosti, 2025.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule wa Jamhuri ya Sudan hapa nchini Mhe. Mohamed Abdalla Abdelhameed Ahmed mara baada ya kuwasili Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 06 Agosti, 2025.

No comments:

Post a Comment