RAIS DKT. SAMIA AONGOZA WAOMBOLEZAJI KUAGA MWILI WA SPIKA MSTAAFU HAYATI JOB NDUGAI VIWANJA VYA BUNGE DODOMA - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya

Sunday, 10 August 2025

RAIS DKT. SAMIA AONGOZA WAOMBOLEZAJI KUAGA MWILI WA SPIKA MSTAAFU HAYATI JOB NDUGAI VIWANJA VYA BUNGE DODOMA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na Viongozi mbalimbali kabla ya kuaga mwili wa Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Job Yustino Ndugai katika viwanja vya Bunge Jijini Dodoma tarehe 10 Agosti, 2025.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akisaini Kitabu cha Maombolezo mara baada ya kuwasili katika viwanja vya Bunge Jijini Dodoma kwa ajili ya kuongoza waombolezaji kuaga mwili wa Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Job Yustino Ndugai tarehe 10 Agosti, 2025.

No comments:

Post a Comment