MIAKA 5 YA UONGOZI MADHUBUTI, UADILIFU, UNYENYEKEVU, MAONO NA MATOKEO MAKUBWA - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Monday, 18 August 2025

MIAKA 5 YA UONGOZI MADHUBUTI, UADILIFU, UNYENYEKEVU, MAONO NA MATOKEO MAKUBWA

 

Bi. Ruth Zaipuna, Afisa Mtendaji Mkuu NMB

THEHABARICOM inatoa pongezi kubwa kwa Afisa Mtendaji Mkuu wa Kwanza Mtanzania wa Benki ya NMB, Bi. Ruth Zaipuna kwa kutimiza miaka mitano kama Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB.

Umekuwa muhimili Mkubwa kwenye sekta ya Benki nchini kupitia uwekezaji kwa watu, mageuzi ya kidijitali, utawala bora, miradi ya kijamii na kuongeza thamani ya benki sokoni.

Kila la Heri unapoanza safari nyingine ya mafanikio ndani ya Benki ya NMB.

No comments:

Post a Comment