MGOMBEA URAIS CCM, DK SAMIA ACHUKUA FOMU INEC JIJINI DODOMA - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya

Saturday, 9 August 2025

MGOMBEA URAIS CCM, DK SAMIA ACHUKUA FOMU INEC JIJINI DODOMA

 Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Mahakama ya Rufaa Jacobs Mwambegele akimkakabidhi mkoba wenye fomu za kuomba kuteuliwa kuwa Mgombea wa Kiti cha Rais na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan. Mgombea huyo wa CCM alichukua fomu hizo leo Agosti 9,2025 ambapo Tume inataraji kufanya uteuzi Agosti 27 mwaka huu.  (Picha na INEC).

Matukio mbalimbali mara baada ya Mgombea wa Nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan kuchukua Fomu ya kugombea nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM katika Ofisi za Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) Njedengwa Jijini Dodoma tarehe 09 Agosti, 2025.

Mgombea wa Nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasalimia wananchi wa Dodoma mjini wakati kuelekea kwenye Ofisi za Makao Makuu ya CCM (White House) mara baada ya kuchukua Fomu ya kugombea nafasi ya Rais kutoka Ofisi za Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) Njedengwa Jijini Dodoma tarehe 09 Agosti, 2025

Mgombea wa Nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akitembea kuelekea kwenye Ofisi za Makao Makuu ya CCM (White House) mara baada ya kuchukua Fomu ya kugombea nafasi ya Rais kutoka Ofisi za Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) Njedengwa Jijini Dodoma tarehe 09 Agosti, 2025

Mgombea wa Nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasalimia wananchi wa Dodoma mjini wakati kuelekea kwenye Ofisi za Makao Makuu ya CCM (White House) mara baada ya kuchukua Fomu ya kugombea nafasi ya Rais kutoka Ofisi za Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) Njedengwa Jijini Dodoma tarehe 09 Agosti, 2025.

No comments:

Post a Comment