Mgombea wa Nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan arejesha Fomu za kugombea nafasi hiyo katika Ofisi za Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Njedengwa Jijini Dodoma.
Mgombea wa Nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akimkabidhi Fomu za kugombea nafasi ya Rais Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji wa Mahakama ya Rufani Jacobs Mwambegele katika Ofisi za Tume hiyo Njedengwa Jijini Dodoma tarehe 27 Agosti, 2025. Kushoto ni Mgombea Mwenza Dkt. Emmanuel John Nchimbi.

Mgombea wa Nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akisaini kitabu kuashiria kurejesha kwa fomu ya kugombea nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika 29 Oktoba, 2025 katika Ofisi za Tume hiyo Njedengwa Jijini Dodoma tarehe 27 Agosti, 2025.

DC SIMANJIRO AINGIA KATI MGOGORO WA ARDHI WA SHULE
-
Na Mwandishi wetu, Simanjiro
MKUU wa Wilaya ya Simanjiro Mkoani Manyara, Fakii Raphael Lulandala
ameingilia kati mgogoro wa ardhi kwa kuagiza waliovamia en...
NBC Yatoa Mikopo ya Makazi kwa Wakulima 57
-
- Yaendelea kukabidhi Malori kwa Vyama vya Ushirika
Kufuatia hatua ya Serikali kukabidhi Shilingi bilioni 300 kwa taasisi saba
za kifedha, ikiwemo Benki...
Habari kubwa Magazetini Kenya leo March 3, 2025
-
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania March 3, 2025,nakukaribisha
kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma Magazetini
ke...
No comments:
Post a Comment