MKUTANO WA HADHARA WA DKT. SAMIA KWALA...! - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya

Thursday, 31 July 2025

MKUTANO WA HADHARA WA DKT. SAMIA KWALA...!

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi wa Kwala kwenye mkutano wa hadhara mara baada ya kuzindua Bandari kavu ya Kwala, Kibaha vijijini mkoani Pwani tarehe 31 Julai, 2025.

Viongozi pamoja na wananchi wakiwa kwenye mkutano wa hadhara wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika eneo la Kwala Kibaha vijijini mkoani Pwani tarehe 31 Julai, 2025.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akisisitiza jambo kwa wananchi wa Kwala kwenye mkutano wa hadhara mara baada ya kuzindua Bandari kavu ya Kwala, Kibaha vijijini mkoani Pwani tarehe 31 Julai, 2025.

No comments:

Post a Comment