TUZO NA ZAWADI KWENYE MAADHIMISHO YA SHEREHE ZA SIKU YA WAFANYAKAZI DUNIANI MEI MOSI KITAIFA MKOANI SINGIDA - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Thursday, 1 May 2025

TUZO NA ZAWADI KWENYE MAADHIMISHO YA SHEREHE ZA SIKU YA WAFANYAKAZI DUNIANI MEI MOSI KITAIFA MKOANI SINGIDA

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akikabidhi vikombe kwa Manahodha wa Timu zilizofanya vizuri katika sherehe za Siku ya Wafanyakazi Duniani Mei Mosi ambapo Kitaifa zimefanyika katika uwanja wa Bombadia Mkoani Singida tarehe 01 Mei, 2025.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akitoa zawadi kwa wafanyakazi hodari katika sherehe ya Siku ya Wafanyakazi Duniani Mei Mosi ambapo Kitaifa zimefanyika katika uwanja wa Bombadia Mkoani Singida tarehe 01 Mei, 2025.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akitoa vyeti kwa wafanyakazi hodari katika sherehe ya Siku ya Wafanyakazi Duniani Mei Mosi ambapo Kitaifa zimefanyika katika uwanja wa Bombadia Mkoani Singida tarehe 01 Mei, 2025.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea Tuzo ya Shukrani kutoka kwa Rais wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi (TUCTA) Tumaini Nyamhokya  kwa niaba ya wafanyakazi wakati wa Maadhimisho ya Siku wa Wafanyakazi Duniani (Mei Mosi) ambapo kitaifa sherehe hizo zimefanyika katika uwanja wa Bombadia Mkoani Singida tarehe 01 Mei, 2025.

No comments:

Post a Comment