RAIS WA FINLAND, STUBB AHITIMISHA ZIARA YA KITAIFA, TANZANIA - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya

Saturday, 17 May 2025

RAIS WA FINLAND, STUBB AHITIMISHA ZIARA YA KITAIFA, TANZANIA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa amesimama na Mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Finland Mhe. Alexander Stubb wakati wimbo wa Taifa wa Tanzania na ule wa Finland ukiimbwa katika viwanja vya Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 16 Mei, 2025.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiagana na Mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Finland Mhe. Alexander Stubb mara baada ya kuhitimisha Ziara ya Kitaifa, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 16 Mei, 2025.

No comments:

Post a Comment