RAIS DKT. SAMIA AONGOZA WATANZANIA MAZIKO YA MAKAMU WA KWANZA WA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA NA WAZIRI MKUU MSTAAFU HAYATI MZEE CLEOPA DAVID MSUYA KIJIJI CHA CHOMVU, USANGI WILAYANI MWANGA MKOANI KILIMANJARO - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya

Tuesday, 13 May 2025

RAIS DKT. SAMIA AONGOZA WATANZANIA MAZIKO YA MAKAMU WA KWANZA WA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA NA WAZIRI MKUU MSTAAFU HAYATI MZEE CLEOPA DAVID MSUYA KIJIJI CHA CHOMVU, USANGI WILAYANI MWANGA MKOANI KILIMANJARO

Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan aongoza Watanzania katika maziko ya Makamu wa Kwanza wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Waziri Mkuu Mstaafu Hayati Mzee Cleopa David Msuya katika Kijiji cha Chomvu, Usangi Wilayani Mwanga mkoani Kilimanjaro.

Viongozi mbalimbali waliohudhuria mazishi ya Makamu wa Kwanza wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Waziri Mkuu Mstaafu Hayati Mzee Cleopa David Msuya katika Kijiji cha Chomvu, Usangi Wilayani Mwanga mkoani Kilimanjaro tarehe13 Mei, 2025.

Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan aongoza Watanzania katika maziko ya Makamu wa Kwanza wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Waziri Mkuu Mstaafu Hayati Mzee Cleopa David Msuya katika Kijiji cha Chomvu, Usangi Wilayani Mwanga mkoani Kilimanjaro.

Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan aongoza Watanzania katika maziko ya Makamu wa Kwanza wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Waziri Mkuu Mstaafu Hayati Mzee Cleopa David Msuya katika Kijiji cha Chomvu, Usangi Wilayani Mwanga mkoani Kilimanjaro.

Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan aongoza Watanzania katika maziko ya Makamu wa Kwanza wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Waziri Mkuu Mstaafu Hayati Mzee Cleopa David Msuya katika Kijiji cha Chomvu, Usangi Wilayani Mwanga mkoani Kilimanjaro.

Matukio mbalimbali kwenye mazishi ya Makamu wa Kwanza wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Waziri Mkuu Mstaafu Hayati Mzee Cleopa David Msuya katika Kijiji cha Chomvu, Usangi Wilayani Mwanga mkoani Kilimanjaro tarehe13 Mei, 2025'

Matukio mbalimbali kwenye mazishi ya Makamu wa Kwanza wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Waziri Mkuu Mstaafu Hayati Mzee Cleopa David Msuya katika Kijiji cha Chomvu, Usangi Wilayani Mwanga mkoani Kilimanjaro tarehe13 Mei, 2025.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiweka udongo kwenye kaburi la  Makamu wa Kwanza wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Waziri Mkuu Mstaafu Hayati Mzee Cleopa David Msuya katika maziko yaliyofanyika nyumbani kwake Chomvu, Usangi Wilayani Mwanga Mkoani Kilimanjaro tarehe13 Mei, 2025.

No comments:

Post a Comment