Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameongoza kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC), tarehe 26 Mei 2025, jijini Dodoma.
Kikao kikiendelea
Katibu Mkuu wa CCM Taifa, Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi akiwa kwenye kikao hicho.
Kikao kikiendelea.
LALJI NA BARAKA FOUNDATION WAENDESHA KAMBI YA MATIBABU YA MACHO BURE KOROGWE
-
Taasisi za LALJI FOUNDATION na BARAKA FOUNDATION kwa kushirikiana na
VISION 4 ALL EYE CENTER imeendesha Kambi ya Matibabu ya Macho Bure katika
Hal...
5 hours ago






No comments:
Post a Comment