Mwenyekiti
wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan
akihutubia kabla ya kufunga Mkutano Maalum wa Chama hicho uliofanyika katika
ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete (JKCC) Jijini Dodoma tarehe 30 Mei,2025.
Shamra
shamra za Mkutano Maalum wa Chama
cha Mapinduzi (CCM) Taifa uliofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete (JKCC)
Jijini Dodoma tarehe
30 Mei,2025. Afisa Mtendaji Mkuu (Mkurugenzi Mtendaji) wa Benki ya NMB, Ruth Zaipuna akisalimiana na baadhi ya wajumbe wa mkutano huo.
Mkutano ukiendelea.
Mkutano ukiendelea.
Shamra shamra za Mkutano Maalum wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa uliofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete (JKCC) Jijini Dodoma tarehe 30 Mei,2025.
Shamra shamra za Mkutano huo zikiendelea.
Mitano tena hiyo kwa Mama Dkt. Samia.
Shamra shamra za Mkutano Maalum wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa uliofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete (JKCC) Jijini Dodoma tarehe 30 Mei,2025.
Shamra shamra za Mkutano Maalum huo zikinoga.















No comments:
Post a Comment