WIZARA ya Fedha imeungana na Watanzania wengine kuadhimisha Siku ya Kimataifa ya Wanawake Duniani, iliyofanyika kitaifa Jijini Arusha, ambapo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameongoza maadhimisho hayo yakiwa yamebeba kauli mbiu ya ‘’Wanawake na Wasichana 2025: Tuimarishe Haki, Usawa na Uwezeshaji’’.
Timu ya MSLAC yatoa Elimu ya ukatili kwa wanafunzi 700 Mtukula Missenyi
-
Na Diana Byera,Missenyi
Zaidi wa wanafunzi 700 wa shule ya sekondari Mtukula Wamepewa Elimu ya
kuwasilisha na kurepoti matukio ya ukatili katika madawati...
52 minutes ago
No comments:
Post a Comment