RAIS DKT. SAMIA AZINDUA MRADI WA MAJI WA SAME-MWANGA-KOROGWE WILAYANI MWANGA MKOANI KILIMANJARO - THE HABARII
.com/img/a/
ASAS GROUP
.com/img/a/

Sunday, 9 March 2025

demo-image

RAIS DKT. SAMIA AZINDUA MRADI WA MAJI WA SAME-MWANGA-KOROGWE WILAYANI MWANGA MKOANI KILIMANJARO

0001_6
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akikagua moja ya sehemu ya kuchuja maji ya mradi wa Same-Mwanga-Korogwe mara baada ya hafla ya uzinduzi iliyofanyika Mwanga mkoani Kilimanjaro tarehe 09 Machi, 2025.

01%20(4)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimsikiliza Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso kuhusu chanzo cha maji kwenye mradi huo wa Same-Mwanga-Korogwe uliopo Wilayani Mwanga mkoani Kilimanjaro tarehe 09 Machi, 2025.

02.....,,
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akivuta kitambaa kuashiria ufunguzi wa mradi wa maji wa Same-Mwanga-Korogwe kwenye hafla iliyofanyika Mwanga mkoani Kilimanjaro tarehe 09 Machi, 2025.

02.....

03...%20(1)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiteta jambo na Waziri Mkuu Mstaafu Mzee Cleopa David Msuya mara baada  ya kufungua mradi wa Maji wa Same-Mwanga-Korogwe kwenye hafla iliyofanyika Mwanga mkoani Kilimanjaro tarehe 09 Machi, 2025. Mzee Msuya pia aliwahi kuwa Mbunge wa Jimbo la Mwanga.

04c
Taswira ya eneo la chanzo cha maji ya mradi wa Maji wa Same-Mwanga-Korogwe kilichopo wilayani Mwanga mkoani Kilimanjaro.

05..

06%20(2)

07..%20(1)
Taswira ya eneo la chanzo cha maji ya mradi wa Maji wa Same-Mwanga-Korogwe kilichopo wilayani Mwanga mkoani Kilimanjaro.
07..%20(1)
Taswira ya eneo la chanzo cha maji ya mradi wa Maji wa Same-Mwanga-Korogwe kilichopo wilayani Mwanga mkoani Kilimanjaro.

06%20(2)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akikagua moja ya sehemu ya kuchuja maji ya mradi wa Same-Mwanga-Korogwe mara baada ya hafla ya uzinduzi iliyofanyika Mwanga mkoani Kilimanjaro tarehe 09 Machi, 2025.

05..
Taswira ya eneo la chanzo cha maji ya mradi wa Maji wa Same-Mwanga-Korogwe kilichopo wilayani Mwanga mkoani Kilimanjaro.

04c
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiteta jambo na Waziri Mkuu Mstaafu Mzee Cleopa David Msuya mara baada  ya kufungua mradi wa Maji wa Same-Mwanga-Korogwe kwenye hafla iliyofanyika Mwanga mkoani Kilimanjaro tarehe 09 Machi, 2025. Mzee Msuya pia aliwahi kuwa Mbunge wa Jimbo la Mwanga.

03...%20(1)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiteta jambo na Waziri Mkuu Mstaafu Mzee Cleopa David Msuya mara baada  ya kufungua mradi wa Maji wa Same-Mwanga-Korogwe kwenye hafla iliyofanyika Mwanga mkoani Kilimanjaro tarehe 09 Machi, 2025. Mzee Msuya pia aliwahi kuwa Mbunge wa Jimbo la Mwanga.

02.....
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akivuta kitambaa kuashiria ufunguzi wa mradi wa maji wa Same-Mwanga-Korogwe kwenye hafla iliyofanyika Mwanga mkoani Kilimanjaro tarehe 09 Machi, 2025.

02.....,,
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akivuta kitambaa kuashiria ufunguzi wa mradi wa maji wa Same-Mwanga-Korogwe kwenye hafla iliyofanyika Mwanga mkoani Kilimanjaro tarehe 09 Machi, 2025.

0001_6
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akikagua moja ya sehemu ya kuchuja maji ya mradi wa Same-Mwanga-Korogwe mara baada ya hafla ya uzinduzi iliyofanyika Mwanga mkoani Kilimanjaro tarehe 09 Machi, 2025.

00..
Taswira ya eneo la chanzo cha maji ya mradi wa Maji wa Same-Mwanga-Korogwe kilichopo wilayani Mwanga mkoani Kilimanjaro.

Halotel+Mpango+Mzima

No comments:

Post a Comment

Contact Form

Name

Email *

Message *

Contact Form

Name

Email *

Message *