NMB YAHUDHURIA MKUTANO WA KAMISHENI YA HUDUMA ZA JAMII YA KIKRISTO (CSSC) - THE HABARII
.com/img/a/
ASAS GROUP
.com/img/a/

Wednesday, 12 February 2025

demo-image

NMB YAHUDHURIA MKUTANO WA KAMISHENI YA HUDUMA ZA JAMII YA KIKRISTO (CSSC)

 WhatsApp%20Image%202025-02-12%20at%2010.30.44_cbbfcd57

WhatsApp%20Image%202025-02-12%20at%2010.30.43_d7c7b183

WhatsApp%20Image%202025-02-12%20at%2010.30.46_63983c66

WhatsApp%20Image%202025-02-12%20at%2010.30.41_4d86f3f1

WhatsApp%20Image%202025-02-12%20at%2010.30.46_9cc24a12

WhatsApp%20Image%202025-02-12%20at%2010.30.45_08be6511

WhatsApp%20Image%202025-02-12%20at%2010.30.45_2e4a0ac3


WhatsApp%20Image%202025-02-12%20at%2010.30.44_0e724875



WhatsApp%20Image%202025-02-12%20at%2010.30.43_337d1bc4

WhatsApp%20Image%202025-02-12%20at%2010.30.42_995d7771

WhatsApp%20Image%202025-02-12%20at%2010.30.42_8afefdf7
UWAKILISHI wa Benki ya NMB ukiongozwa na Afisa Mtendaji Mkuu, Bi. Ruth Zaipuna umehudhuria Mkutano wa Kamisheni ya Huduma za Kijamii ya Kikristo (CSSC), mkutano unaoangazia masuala ya elimu na afya. Mkutano huu unafanyika jijini Dar es Salaam kwa siku mbili.

Benki ya NMB imekuwa na ushirikiano mzuri na Kamisheni hii ambapo baadhi ya mashule na hospitali zao zimekuwa zikitumia mifumo ya Benki ya NMB ya kidijitali inayorahisisha ukusanyaji wa Sadaka, ulipaji bili za huduma za afya na uchangiaji wa miradi mbalimbali. 

Zaidi, mifumo hii imesaidia kupunguza upotevu wa mapato, kupunguza gharama kubwa za uendeshaji, kuonyesha uwazi, usimamizi wa miamala (yaani reconciliation) na kufanya malipo mbalimbali kwa wakati.

Mkutano huu umeongonzwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Kamisheni ya Huduma za Kijamii ya Kikristo, Ndg. Peter Maduki na kuhudhuriwa na  Maaskofu wote nchini.

#NMBKaribuYako

Halotel+Mpango+Mzima

No comments:

Post a Comment

Contact Form

Name

Email *

Message *

Contact Form

Name

Email *

Message *