RAIS DKT. SAMIA ASHIRIKI MKUTANO WA WAKUU WA NCHI WANACHAMA WA EAC, ARUSHA - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya

Saturday, 30 November 2024

RAIS DKT. SAMIA ASHIRIKI MKUTANO WA WAKUU WA NCHI WANACHAMA WA EAC, ARUSHA

Baadhi ya Wakuu wa nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) wakiwa kwenye mkutano wa Ndani uliofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC) Jijini Arusha tarehe 30 Novemba, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akishiriki mkutano wa ndani wa Wakuu wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) pamoja na maadhimisho ya miaka 25 ya Jumuiya hiyo katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC) Jijini Arusha tarehe 30 Novemba, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na baadhi ya Wakuu wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) kabla ya kuanza kwa Mkutano wa kawaida wa 24 wa viongozi hao pamoja na maadhimisho ya miaka 25 ya Jumuiya hiyo katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC) Jijini Arusha tarehe 30 Novemba, 2024.

No comments:

Post a Comment