RAIS DKT. SAMIA ATEMBELEA SOKO KUU LA DHAHABU GEITA - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya

Sunday, 13 October 2024

RAIS DKT. SAMIA ATEMBELEA SOKO KUU LA DHAHABU GEITA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipata maelezo kuhusu Maabara ya kisasa ya  dhahabu iliyopo katika Soko Kuu la Dhahabu Geita mara baada ya kuwasili Mkoani Geita tarehe 13 Oktoba, 2024.

Muonekano wa Soko Kuu la Dhahabu Geita lililopo Mkoani Geita.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipata maelezo kuhusu hatua mbalimbali za upokeaji na uuzaji wa madini ya dhahabu katika Soko Kuu la Dhahabu Geita mara baada ya kuwasili Mkoani Geita tarehe 13 Oktoba, 2024.

No comments:

Post a Comment