RAIS NA AMIRI JESHI MKUU DKT. SAMIA ASHIRIKI MAADHIMISHO YA MIAKA 60 YA JESHI LA POLISI LA TANZANIA - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya

Tuesday, 17 September 2024

RAIS NA AMIRI JESHI MKUU DKT. SAMIA ASHIRIKI MAADHIMISHO YA MIAKA 60 YA JESHI LA POLISI LA TANZANIA

Gwaride la heshima lililoandaliwa na Jeshi la Polisi la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania likipita mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye maadhimisho ya miaka 60 ya Jeshi hilo yaliyofanyika katika Shule ya Polisi Tanzania (TPS), Moshi Mkoani Kilimanjaro tarehe 17 Septemba, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akikagua Gwaride la heshima lililoandaliwa na Jeshi la Polisi la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa ajili ya maadhimisho ya miaka 60 ya Jeshi hilo yaliyofanyika katika Shule ya Polisi Tanzania (TPS), Moshi Mkoani Kilimanjaro tarehe 17 Septemba, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa amesimama wakati Wimbo wa Taifa na ule wa Jumuiya ya Afrika Mashariki ukiimbwa mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Shule ya Polisi Tanzania (TPS), Moshi Mkoani Kilimanjaro tarehe 17 Septemba, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasili katika uwanja wa Shule ya Polisi Tanzania (TPS) kwa ajili ya kufunga Mkutano Mkuu wa Maafisa Wakuu Waandamizi wa Jeshi la Polisi pamoja na maadhimisho ya miaka 60 ya Jeshi hilo Moshi Mkoani Kilimanjaro tarehe 17 Septemba, 2024.

Maonesho mbalimbali wakati wa maadhimisho ya miaka 60 ya Jeshi la Polisi la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania yaliyofanyika katika Shule ya Polisi Tanzania (TPS), Moshi Mkoani Kilimanjaro tarehe 17 Septemba, 2024.

Gwaride la Watoto likipita mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye maadhimisho ya miaka 60 ya Jeshi hilo yaliyofanyika katika Shule ya Polisi Tanzania (TPS), Moshi Mkoani Kilimanjaro tarehe 17 Septemba, 2024.

Gwaride la heshima lililoandaliwa na Jeshi la Polisi la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania likipita mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye maadhimisho ya miaka 60 ya Jeshi hilo yaliyofanyika katika Shule ya Polisi Tanzania (TPS), Moshi Mkoani Kilimanjaro tarehe 17 Septemba, 2024.

No comments:

Post a Comment