RAIS NA AMIRI JESHI MKUU DKT. SAMIA KWENYE KILELE MAADHIMISHO YA MIAKA 60 YA JESHI LA POLISI, KILIMANJARO - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya

Tuesday, 17 September 2024

RAIS NA AMIRI JESHI MKUU DKT. SAMIA KWENYE KILELE MAADHIMISHO YA MIAKA 60 YA JESHI LA POLISI, KILIMANJARO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na viongozi mbalimbali wa Jeshi la Polisi kabla ya kufunga Mkutano Mkuu wa mwaka wa Maafisa Wakuu Waandamizi wa Jeshi hilo uliofanyika katika  Shule ya Polisi Tanzania (TPS) Moshi Mkoani Kilimanjaro tarehe 17 Septemba, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na viongozi wengine kwenye Mkutano Mkuu wa mwaka wa Maafisa Wakuu Waandamizi wa Jeshi la Polisi wakati  kilele cha maadhimisho ya miaka 60 ya Jeshi hilo, Moshi Mkoani Kilimanjaro tarehe 17 Septemba, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiangalia Maonesho mbalimbali ya Jeshi la Polisi kwenye maadhimisho ya miaka 60 ya Jeshi hilo yaliyofanyika katika Shule ya Polisi Tanzania (TPS), Moshi Mkoani Kilimanjaro tarehe 17 Septemba, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokea zawadi ya Kitabu cha Picha za kumbukumbu kutoka kwa Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP) Camillus Wambura wakati wa Mkutano Mkuu wa mwaka wa Maafisa Wakuu Waandamizi wa Jeshi la Polisi uliofanyika Shule ya Polisi Tanzania (TPS) Moshi Mkoani Kilimanjaro tarehe 17 Septemba, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokea Tuzo kutoka kwa Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP) Camillus Wambura wakati wa Mkutano Mkuu wa mwaka wa Maafisa Wakuu Waandamizi wa Jeshi la Polisi uliofanyika Shule ya Polisi Tanzania (TPS) Moshi Mkoani Kilimanjaro tarehe 17 Septemba, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akionesha Tuzo mara baada ya kukabidhiwa na Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP) Camillus Wambura wakati wa Mkutano Mkuu wa mwaka wa Maafisa Wakuu Waandamizi wa Jeshi la Polisi uliofanyika Shule ya Polisi Tanzania (TPS) Moshi Mkoani Kilimanjaro tarehe 17 Septemba, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akisaini kitabu cha wageni mara baada ya kuwasili katika Shule ya Polisi Tanzania (TPS), Moshi Mkoani Kilimanjaro tarehe 17 Septemba, 2024.

Maonesho mbalimbali wakati wa maadhimisho ya miaka 60 ya Jeshi la Polisi la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania yaliyofanyika katika Shule ya Polisi Tanzania (TPS), Moshi Mkoani Kilimanjaro tarehe 17 Septemba, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiangalia vifaa mbalimbali vilivyokuwa vikitumiwa na Jeshi la Polisi Tanzania katika miaka ya nyuma wakati wa maadhimisho ya miaka 60 ya Jeshi hilo yaliyofanyika katika Shule ya Polisi Tanzania (TPS), Moshi Mkoani Kilimanjaro tarehe 17 Septemba, 2024.

No comments:

Post a Comment