RAIS DKT. SAMIA AZINDUA SHULE YA SEKONDARI YA WASICHANA YA DKT. SAMIA SULUHU HASSAN ILIYOPO NAMTUMBO, RUVUMA - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya

Friday, 27 September 2024

RAIS DKT. SAMIA AZINDUA SHULE YA SEKONDARI YA WASICHANA YA DKT. SAMIA SULUHU HASSAN ILIYOPO NAMTUMBO, RUVUMA

Picha za Majengo ya Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Mchepuo wa Sayansi na Sanaa ya Dkt. Samia Suluhu Hassan iliyopo katika kitongoji cha Migeregere kata ya Rwinga, Wilaya ya Namtumbo, Mkoani Ruvuma

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimsalimia na kumjulia hali kijana Norteburgaer Kalinga (14) mwenye mahitaji maalum mara baada ya kuzindua Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Mchepuo wa Sayansi na Sanaa ya Dkt. Samia Suluhu Hassan iliyopo katika Kitongoji cha Migeregere Kata ya Rwinga, Wilaya ya Namtumbo, Mkoani Ruvuma tarehe 27 Septemba, 2024.

Wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana Mchepuo wa Sayansi na Sanaa ya Dkt. Samia Suluhu Hassan wakifuatilia hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan wakati wa hafla fupi ya uzinduzi wa Sekondari hiyo iliyopo katika Kitongoji cha Migeregere Kata ya Rwinga, Wilaya ya Namtumbo, Mkoani Ruvuma ttarehe 27 Septemba, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Mchepuo wa Sayansi na Sanaa ya Dkt. Samia Suluhu Hassan iliyopo katika Kitongoji cha Migeregere Kata ya Rwinga, Wilaya ya Namtumbo, Mkoani Ruvuma tarehe 27 Septemba, 2024.

Picha za Majengo ya Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Mchepuo wa Sayansi na Sanaa ya Dkt. Samia Suluhu Hassan iliyopo katika kitongoji cha Migeregere kata ya Rwinga, Wilaya ya Namtumbo, Mkoani Ruvuma

Picha za Majengo ya Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Mchepuo wa Sayansi na Sanaa ya Dkt. Samia Suluhu Hassan iliyopo katika kitongoji cha Migeregere kata ya Rwinga, Wilaya ya Namtumbo, Mkoani Ruvuma

Picha za Majengo ya Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Mchepuo wa Sayansi na Sanaa ya Dkt. Samia Suluhu Hassan iliyopo katika kitongoji cha Migeregere kata ya Rwinga, Wilaya ya Namtumbo, Mkoani Ruvuma.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiangalia mfumo wa kupika kwa kutumia nishati safi na salama mara baada ya kuzindua wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Mchepuo wa Sayansi na Sanaa ya Dkt. Samia Suluhu Hassan iliyopo katika Kitongoji cha Migeregere Kata ya Rwinga, Wilaya ya Namtumbo, Mkoani Ruvuma tarehe 27 Septemba, 2024.

No comments:

Post a Comment