RAIS DKT. SAMIA AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA WATANZANIA WANAOISHI CHINA (DIASPORA) BEIJING - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya

Friday, 6 September 2024

RAIS DKT. SAMIA AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA WATANZANIA WANAOISHI CHINA (DIASPORA) BEIJING

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Watanzania wakiwemo wafanyakazi, wanafunzi na wafanyabiashara wanaoishi nchini China (Diaspora) mara baada ya kuzungumza nao Jijini Beijing tarehe 06 Septemba, 2024.

Watanzania wanaoishi nchini China (Diaspora) wakiwa kwenye mkutano na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Jijini Beijing tarehe 06 Septemba, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Watanzania wakiwemo wafanyakazi, wanafunzi na wafanyabiashara wanaoishi nchini China (Diaspora) kwenye mkutano uliofanyika Jijini Beijing tarehe 06 Septemba, 2024.

No comments:

Post a Comment