RAIS DKT. SAMIA AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA SULUHU SPORTS ACADEMY KIZIMKAZI, ZANZIBAR - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya

Thursday 22 August 2024

RAIS DKT. SAMIA AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA SULUHU SPORTS ACADEMY KIZIMKAZI, ZANZIBAR

Michoro mbalimbali ikionesha Taswira ya Suluhu Sports Academy itakavyokuwa mara baada ya kukamilika kwa ujenzi wake.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasikiliza Watoto wa Suluhu Sports Academy wakati wakiimba mara baada ya kuwasili katika eneo la mradi, Kizimkazi Zanzibar tarehe 22 Agosti, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimsikiliza Rais wa Shirikisho la mpira wa miguu Tanzania (TFF) Wallace Karia kuhusu ujenzi wa Suluhu Sports Academy wakati wa shamrashamra za Tamasha la Kizimkazi, Zanzibar tarehe 22 Agosti, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akivuta kitambaa kuashiria uwekaji wa jiwe la Msingi la ujenzi wa Suluhu Sports Academy katika eneo la Kizimkazi wakati wa shamrashamra za Tamasha la Kizimkazi, Zanzibar tarehe 22 Agosti, 2024.

No comments:

Post a Comment