Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na mgeni wake Rais wa Msumbiji Mhe. Filipe Jacinto Nyusi mara baada ya kuwasili katika viwanja vya Maonesho ya 48 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam (Sabasaba) tarehe 03 Julai, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na mgeni wake Rais wa Msumbiji Mhe. Filipe Jacinto Nyusi wakiwapungia mkono wananchi katika viwanja vya Maonesho ya 48 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam (Sabasaba) tarehe 03 Julai, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na mgeni wake Rais wa Msumbiji Mhe. Filipe Jacinto Nyusi wakati wakiangalia baadhi ya bidhaa zilizopo katika Mabanda mbalimbali ya Maonesho ya 48 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam (Sabasaba) tarehe 03 Julai, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akifurahia jambo na mgeni wake Rais wa Msumbiji Mhe. Filipe Jacinto Nyusi mara baada ya kuwasili katika viwanja vya Maonesho ya 48 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam (Sabasaba) tarehe 03 Julai, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na mgeni wake Rais wa Msumbiji Mhe. Filipe Jacinto Nyusi wakati wakitembelea Mabanda mbalimbali ya Maonesho ya 48 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam (Sabasaba) tarehe 03 Julai, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na mgeni wake Rais wa Msumbiji Mhe. Filipe Jacinto Nyusi mara baada ya kuwasili katika viwanja vya Maonesho ya 48 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam (Sabasaba) tarehe 03 Julai, 2024.
Jishindie Bilioni 2 za Diamond Jackpot Leo
-
MERIDIANBET wakiwa kama wakali wa ubashiri Tanzania wamekuja na Jackpot ya
kibabe haswa ya Bilioni 2 ambayo kwa dau la shilingi 500 tuuh unajiweka
kwe...
MAANDALIZI KIZIMKAZI FESTIVAL2026 YAPAMBA MOTO
-
*Maandalizi ya Kizimkazi Festival itakayofanyika Agosti 12 hadi 14, 2026,
yamepamba moto. Tamasha hili linalofanyika kila mwaka linatayarajiwa
kuwaleta p...
Habari kubwa Magazetini Kenya leo March 3, 2025
-
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania March 3, 2025,nakukaribisha
kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma Magazetini
ke...
No comments:
Post a Comment