Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea Ripoti ya Kamati Maalum kuhusu Kutathmini hali ya Utendaji na Uchumi kwenye Vyombo vya Habari Tanzania Bara kutoka kwa Mwenyekiti wa Kamati hiyo Mwandishi Mbobevu Tido Mhando wakati wa Kongamano la Pili la Maendeleo ya Sekta ya Habari katika ukumbi wa Mlimani City Jijini Dar es Salaam tarehe 18 Juni, 2024. |
Baadhi ya Wanahabari Wabobevu wakiwa kwenye Kongamano la Pili la Maendeleo ya Sekta ya Habari lililofanyika katika ukumbi wa Mlimani City Jijini Dar es Salaam tarehe 18 Juni, 2024. |
Baadhi ya Wanahabari Wabobevu wakiwa kwenye Kongamano la Pili la Maendeleo ya Sekta ya Habari lililofanyika katika ukumbi wa Mlimani City Jijini Dar es Salaam tarehe 18 Juni, 2024. |
No comments:
Post a Comment