SHAMRASHAMRA ZA MIAKA 60 YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR - THE HABARII

THE HABARII

HABARI | MATUKIO | MICHEZO.

ASAS GROUP

Habari Mpya

Thursday, 11 January 2024

SHAMRASHAMRA ZA MIAKA 60 YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akimsikiliza Makamu Mwenyekiti wa Chipukizi (CCM) Taifa Atkah Juma Hassan mara baada ya kuhutubia Vijana wa UVCCM wakati wa Shamrashamra za kuelekea Kilele cha Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar yaliyofanyika kwenye Viwanja vya Maisara, Zanzibar

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akifurahia jambo na Mwenyekiti wa Chipukizi (CCM) Taifa Qailah Nurdin Bilal pamoja na Makamu Mwenyekiti wa Chipukizi (CCM) Taifa Atkah Juma Hassan mara baada ya kuhutubia Vijana wa UVCCM wakati wa Shamrashamra za kuelekea Kilele cha Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar yaliofanyika kwenye Viwanja vya Maisara, Zanzibar 

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Jesca Magufuli mtoto wa Rais wa Awamu ya Tano Hayati John Pombe Magufuli mara baada ya kuhutubia   Vijana wa UVCCM wakati wa Shamrashamra za kuelekea Kilele cha Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar yaliofanyika kwenye Viwanja vya Maisara,

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akimsikiliza Makamu Mwenyekiti wa Chipukizi (CCM) Taifa Atkah Juma Hassan mara baada ya kuhutubia Vijana wa UVCCM wakati wa Shamrashamra za kuelekea Kilele cha Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar yaliyofanyika kwenye Viwanja vya Maisara, Zanzibar

No comments:

Post a Comment